Halmashauri ina jumla ya Mialo ya uvuvi 15 ambapo kati ya hiyo mialo iliyoendelezwa ni minne. Mialo hiyo ni Kirumba, Mihama, New Igombe na Kayenze. Pia Halmashauri inavyo viwanda vitatu vya samaki na viwanda saba vidogo vya kugandisha samaki.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Anuani ya Posta: 735 MWANZA
Simu: + 255 736 200910
Simu:
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa