• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
      • Mikakati ya MSM
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha ukaguzi wa ndani
      • Kiengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uhusiano na TEHAMA
    • Kata
      • Sangabuye
      • Nyasaka
      • Buswelu
      • Nyamhongolo
      • Kayenze
      • Bugogwa
      • Shibula
      • Ilemela
      • Kahama
      • Kiseke
      • Pasiansi
      • Kawekamo
      • Ibungilo
      • Nyamanoro
      • Buzuruga
      • Mecco
      • Nyakato
      • Kirumba
      • Kitangiri
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Michezo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya wah. wabunge na madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • MipangoMiji na Mazingira
      • Uchumi Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba

HATI 315 ZA ARDHI ZAKABIDHIWA KWA WATUMISHI ILEMELA

Posted on: August 17th, 2020

Watumishi wa Manispaa ya Ilemela wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi kutoka idara ya afya wamekabidhiwa hati miliki 315  za ardhi ambapo hati 297 zimekabidhiwa kwa walimu na hati 18 zimekabidhiwa kwa watumishi wa idara ya Afya.

Hati hizo zilikabidhiwa na Naibu waziri wa wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mhe Dkt Angeline Mabula ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa Manispaa hiyo wa kutoa motisha kwa walimu kutokana na juhudi walizofanya katika ufundishaji na kuwawezesha wanafunzi wa Manispaa ya Ilemela kufanya vizuri katika mitihani ya Taifa kwa darasa la saba, kidato cha nne na sita kwa mwaka 2018 ikiwa ni pamoja na kuhakikisha watumishi wake wanapata makazi kwa gharama nafuu.


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Naibu Waziri wa Ardhi Mhe Dkt Angeline Mabula mbali na kuipongeza halmashauri ya manispaa ya Ilemela kwa uhodari wake katika zoezi la urasimishaji makazi, upimaji na umilikishaji aliwataka watumishi hao kuzitumia hati hizo kwa shughuli za maendeleo.


“Ilemela imekuwa ikifanya vizuri katika mambo mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu, mtakumbuka hata mwaka jana ilikuwa ya pili kitaifa, Sisi kama serikali tunaona jitihada zenu ndio maana tumetoa utaratibu rahisi wa kuwapatia viwanja kwa walimu wetu ili kuweza kuwapatia motisha katika kazi” Alisema

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya ardhi na mipango miji Ndugu Shukran Kyando alisema kuwa hati hizo zilizotolewa kwa walimu ni sehemu ya viwanja 525 ambavyo vipo kwenye mpango huo wa mradi wa viwanja vya walimu katika eneo la Nyamiswi Kata ya Sangabuye Manispaa ya Ilemela.

Katibu wa kamati ya mradi wa viwanja hivyo, Mwalimu Albert Mahuyu alisema kuwa pamoja na  kamati yake kukutana na changamoto mbalimbali wakati wa uendeshaji wa zoezi hilo, alimshukuru aliyekuwa Mbunge wa Ilemela Mhe. Angelina Mabula kwa kuja na wazo hilo la kutoa motisha ya viwanja kwa walimu pamoja na uongozi mzima wa Manispaa chini ya Mkurugenzi John Wanga kwa namna ambavyo walihakikisha kuwa zoezi hilo linafanikiwa.


Nao wanufaika wa mradi huo wa viwanja wamemshukuru aliyekuwa Mbunge wa Ilemela Dkt. Angeline Mabula pamoja na uongozi wa Manispaa ya Ilemela kwa kuwaheshimisha walimu kwa kuweza kupata hati kwa ajili ya kujenga nyumba katika maeneo rasmi hivyo hiyo ni fursa hata wakistafuu kuishi maisha mazuri huku wakishauri  Halmashauri nyingine nchini ziweze kuanzisha mradi kama huo ili kuwawezesha walimu na watumishi wengine kuwa na uhakika wa maisha hata watakapo staafu.


Jumla ya Hati 1,596 zilitolewa kwa wananchi mbalimbali wa Manispaa ya Ilemela, wakiwemo walimu na watumishi wa idara ya Afya hii ikiwa ni muendelezo wa ugawaji wa hati na kufanya jumla ya hati zilizotolewa kipindi cha mwaka 2020 kuwa 6,061.












Matangazo

  • Orodha ya Majina ya wanafunzi wavulana na wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 shule za kutwa December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 -Mahitaji maalum December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kwa shule za vipaji maalum December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika na shule za ufundi kwa mwaka 2021 December 19, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi aitaka idara ya Elimu kuhakikisha vifaa vinawafikia walengwa

    January 23, 2021
  • Shirika la ICAP lakabidhi pikipi 5 kwa Manispaa ya Ilemela

    January 20, 2021
  • WATAALAM WA ARDHI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

    December 16, 2020
  • MKURUGENZI AWATAKA MADIWANI ILEMELA KUWAJIBIKA NA KUWA WAWAZI

    December 15, 2020
  • Angalia zote

Video

Madiwani Ilemela waapishwa /wampata meya wao
Video zaidi

Ukurasa wa Karibu

  • Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip
  • Maombi ya leseni ya biashara

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Tovuti Kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Anuani ya Posta: 735 MWANZA

    Simu: + 255 736 200910

    Simu:

    Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa