• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
      • Mikakati ya MSM
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha ukaguzi wa ndani
      • Kiengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uhusiano na TEHAMA
    • Kata
      • Sangabuye
      • Nyasaka
      • Buswelu
      • Nyamhongolo
      • Kayenze
      • Bugogwa
      • Shibula
      • Ilemela
      • Kahama
      • Kiseke
      • Pasiansi
      • Kawekamo
      • Ibungilo
      • Nyamanoro
      • Buzuruga
      • Mecco
      • Nyakato
      • Kirumba
      • Kitangiri
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Michezo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya wah. wabunge na madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • MipangoMiji na Mazingira
      • Uchumi Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba

WATAALAM WA ARDHI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

Posted on: December 16th, 2020

Wataalamu wa ardhi wa halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wametakiwa kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na miongozo ya utendaji wa kazi zao za kuhudumia wananchi ili  kuwaletea maendeleo wananchi wa Ilemela

Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ndugu Zakaria Kera wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya manispaa ya Ilemela ambapo amewaasa watumishi wa idara ya ardhi na vitengo vyake kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa jamii kwa kuzingatia weledi na ufanisi uliotukuka kwani  ardhi ni mali ya umma.

“Ardhi ni mali ya wananchi, Na sisi ni watumishi wao ni wajibu wetu kuwahudumia kwa viwango vya ubora wa juu kabisa katika kujiepusha na migogoro  isiyokuwa ya lazima katika mambo mbalimbali yahusuyo ardhi.Wote tunatambua kasi ya serikali yetu ya sasa kufanya kazi kwa bidi na matokeo chanya hakukwepeki.”amesema ndugu Kera.


Aidha ndugu Kera amewataka watumishi hao kuheshimu maelekezo yanayotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwani wao sasa ni watumishi wa wizara ya ardhi moja kwa moja lakini kwa kuwa wanafanya shughuli zao ndani ya manispaa ya Ilemela ni budi kuendelea kushirikiana na ofisi ya Mkurugenzi pindi wanapohitajika kufanya hivyo .

Nae Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela ndugu John Wanga ameushukuru uongozi wa wizara ya ardhi kupitia ndugu Kera kwa mada mbalimbali za mafundisho juu ya uwajibikaji bora kwa watumishi wa ardhi.

“Najua mafundisho haya yatakuwa chachu katika utendaji wenu,kuepuka migogoro isiyo ya lazima ni jadi yetu toka tukiwa pamoja kwa karibu zaidi.Naamini wana Ilemela wanajivunia kazi yenu nzuri mnayoendelea nayo.Msilewe sifa lazima ubunifu katika kazi uendelee ili muendelee kuzaa matunda bora zaidi kwa manispaa yetu.”amesema ndugu Wanga.


Matangazo

  • Orodha ya Majina ya wanafunzi wavulana na wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 shule za kutwa December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 -Mahitaji maalum December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 kwa shule za vipaji maalum December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika na shule za ufundi kwa mwaka 2021 December 19, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi aitaka idara ya Elimu kuhakikisha vifaa vinawafikia walengwa

    January 23, 2021
  • Shirika la ICAP lakabidhi pikipi 5 kwa Manispaa ya Ilemela

    January 20, 2021
  • WATAALAM WA ARDHI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

    December 16, 2020
  • MKURUGENZI AWATAKA MADIWANI ILEMELA KUWAJIBIKA NA KUWA WAWAZI

    December 15, 2020
  • Angalia zote

Video

Madiwani Ilemela waapishwa /wampata meya wao
Video zaidi

Ukurasa wa Karibu

  • Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip
  • Maombi ya leseni ya biashara

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Tovuti Kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Anuani ya Posta: 735 MWANZA

    Simu: + 255 736 200910

    Simu:

    Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa