Wednesday 9th, October 2024
@Wilaya ya Ilemela
Mwenge wa Uhuru 2024 utapokelewa Ilemela katika bandari ya Nyehunge iliyopo mwaloni kata ya Kirumba ukitokea ukerewe ambapo utakagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo na kuzindua miradi mkesha utafanyika katika uwanja wa michezo wa sabasaba uliopo kata ya Ilemela
Kauli mbiu: "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu"
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.