• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Historia

Halmashauri ya Manispaa Ilemela ilianzishwa kwa Sheria ya Serikali za Mitaa Na. 8 ya mwaka 1982 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002. Kwa Tangazo la Serikali Na. 256 la tarehe 28/11/2011 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ilitangazwa rasmi tangu 01 Oktoba, 2012.

Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ipo upande wa Kusini mwa Ziwa Victoria. Magharibi imepakana na Ziwa Victoria, Mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Magu na Kusini Halmashauri ya Jiji la Mwanza. Halmashauri hii ipo kati ya Latitudo, 2015’ na 2031’ Kusini mwa mstari wa Ikweta, na ipo kati ya Longitudo 320 45’ na 330 Mashariki.  Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ni kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Mwanza. Halmashauri zingine ni pamoja na Halmashauri ya Ukerewe, Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Halmashauri ya Buchosa na Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema.    


Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ina ukubwa wa eneo lipatalo kilomita za mraba 1080.55.  Kati ya hizo kilomita za mraba 828.45 (76.7%) zimefunikwa na maji na kilomita mraba 252.10 (23.3%) ni nchi kavu.  Eneo la Manispaa ya Ilemela ni sawa na asilimia 3.1 ya eneo lote la Mkoa wa Mwanza ambalo ni kilomita za mraba 35,187 ambapo kati ya hizo kilomita za mraba 20,095 ni nchi kavu na kilomita za mraba 15,092 ni maji ya Ziwa Victoria.


Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ina tarafa 1, kata 19 na mitaa 171. Kwa upande wa majimbo ya uchaguzi, Halmashauri ina jimbo 1 la uchaguzi ambalo Mbunge wake anatoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Mheshimiwa Dkt. Angeline Mabula. Aidha, Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ina jumla ya Waheshimiwa Madiwani 26 ambao miongoni mwao Madiwani wa kuchaguliwa ni 19 na wakuteuliwa ni 7. Wilaya ina jumla ya watumishi wa umma 3,305 wakiwemo wanaume 1,327 na wanawake 1,978

Announcements

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI DARASA LA SABA 2023- MANISPAA YA ILEMELA November 23, 2023
  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA KIPINDI CHA KUISHIA MWEZI OKTOBA 2023 November 08, 2023
  • TANGAZO LA BODI YA MFUKO WA ELIMU July 20, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA MANISPAA YA ILEMELA July 13, 2023
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • ILEMELA YAPOKEA MADAWATI 170 NA MITI 1700 KUTOKA DESK & CHAIR FOUNDATION

    December 06, 2023
  • " TUSIONE AIBU KUZUNGUMZA MASUALA YA UKIMWI NGAZI ZA FAMILIA."

    December 01, 2023
  • ALAT MWANZA YAIPONGEZA ILEMELA UJENZI WA BARABARA KWA MAPATO YA NDANI

    November 28, 2023
  • "TUCHUKUE TAHADHARI KIPINDUPINDU KINAUA" - DKT. MARWA

    November 23, 2023
  • Tazama zaidi

Video

TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA EAST BUSWELU
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.