Posted on: February 20th, 2020
Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilemela ikiongozwa na Mwenyekiti Ndugu Nelson Mesha, imeipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya Maendeleo....
Posted on: January 19th, 2020
Jumla ya kiasi cha Tshs. 78,008,589,777/= zimeidhinishwa na kupitishwa na baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ikiwa ni makisio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2020...
Posted on: January 14th, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ilianza mpango wa CHF iliyoboreshwa mnamo mwezi Februari mwaka 2019 ambapo hadi sasa zaidi ya wananchi 7018 sawa na kaya 1275 wameshajiandikisha kunufaika na huduma ...