Posted on: March 17th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda leo Machi 17,2025 amewatembelea wafanyabiashara wa mbao eneo la Sabasaba wilayani Ilemela waliopatwa na ajali ya moto na kuwapa pole na kuwaomba kuwa na utulivu ...
Posted on: March 15th, 2025
Kufuatia wizara ya afya kutangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya MPOX mnamo tarehe 09 Machi 2025, kamati ya afya ya msingi ya wilaya ya Ilemela imekutana kujadili juu ya namna ya kuchu...
Posted on: March 14th, 2025
Vijana 35, wasichana 34 na mvulana mmoja wamehitimu mafunzo ya ushonaji na elimu ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa na chuo cha ufundi stadi Nyakato kwa ufadhili wa shirika lisilo la serikali la SOS Chil...