Posted on: November 10th, 2023
Watumishi wa idara ya afya wa Manispaa ya Ilemela wameaswa kuwajibika ipasavyo kila mmoja kwa nafasi yake kwa kufanya kazi kwa weledi na bidii ili kuleta matokeo chanya katika huduma mbalimbali za afy...
Posted on: November 9th, 2023
Tathimini za utendaji kazi na mabadilishano ya uzoefu na changamoto yatasaidia uboreshaji wa utoaji wa huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya ndani ya wilaya ya Ilemela
Hay...
Posted on: November 8th, 2023
Kuelekea maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yanayoadhimishwa kila mwaka halmashauri ya manispaa ya Ilemela kupitia idara ya afya kitengo cha lishe imeanza kutoa elimu ya lishe bora n...