Posted on: July 4th, 2023
"Ardhi yote inapaswa kupangiwa matumizi bora kulingana na eneo na shughuli inayokusudiwa kutekelezwa katika eneo husika.Ujenzi wa shule uzingatie mpangilio mzuri wa miundo mbinu yake ili kuleta mvuto ...
Posted on: June 26th, 2023
Mhe.CPA Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ameipongeza Manispaa ya Ilemela kwa kupata hati safi katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022, ikiwa ni mara tatu mfululizo kuanzia mwaka wa fedha ...
Posted on: June 22nd, 2023
" Kuanza kwa huduma katika zahanati hii ya Mihama ni ukombozi katika sekta ya afya kwetu sisi wana Mihama lakini hata kwa wageni na wakazi wa maeneo ya jirani ambao tumekuwa tukihangaika kwa muda mref...