Posted on: September 16th, 2023
Wananchi wa Wilaya ya Ilemela wametakiwa kuhakikisha kuwa usafi unakuwa ni agenda ya kudumu ya kila siku kwani usafi ni kwa ajili yetu sote.
“Nitoe rai yangu kwenu kuwa zoezi la usafi liwe...
Posted on: September 14th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe CPA Amos Makalla ameipongeza Manispaa ya Ilemela kwa kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya elimu msingi kupitia mradi wa BOOST na kusema kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa ...
Posted on: September 13th, 2023
Mhe Hassan Elias Masala ameitaka jamii ya Sangabuye kuhakikisha inashiriki kwa kuchangia nguvu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo hususan ujenzi wa zahanati ya Sangabuye unaoendelea na kusisiti...