Posted on: July 29th, 2023
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Manispaa ya Ilemela, kimepatiwa kifaa aina ya Kamera Anga, 'DRONE', Na uongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilemela.
Akikabidhi kifaa hicho kwa Mkuru...
Posted on: July 28th, 2023
Mbunge wa jimbo la Ilemela,na Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe Dkt. Angeline Mabula amewahimiza wananchi wa Ilemela kuhakikisha wanaendelea kushirikiana na serikali katika kuyafikia m...
Posted on: July 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe Hassan Masala amekabidhiwa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 16 kutoka bank ya NMB .
Msaada huo umejumuisha madawati 100 ambayo yamegharimu fedha kiasi cha...