Posted on: December 16th, 2022
“Ni wakati wa vijana kuamka na kuacha kukaa vijiweni kupoteza muda bila kazi yoyote,zipo fursa nyingi zinazotolewa na Halmashauri ikiwemo mikopo ya asilimia 10 inayojumuisha makundi matatu ambayo ni v...
Posted on: December 10th, 2022
Katika kipindi cha miaka 61 ya uhuru wa Tanganyika tija imeongezeka katika sekta mbalimbali zikiwemo za uzalishaji mali, na huduma za kijamii, utawala bora, ulinzi na usalama kwa ujumla katika kila se...
Posted on: December 6th, 2022
Kuelekea kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya uhuru wa Tanganyika Disemba 09 wananchi wa Ilemela wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya usafi katika mazingira yanayowazunguka.
Hayo...