Posted on: July 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe Hassan Masala amekabidhiwa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 16 kutoka bank ya NMB .
Msaada huo umejumuisha madawati 100 ambayo yamegharimu fedha kiasi cha...
Posted on: July 26th, 2023
Kamati ya fedha na Uongozi ikiongozwa na Naibu Meya Mhe.Manusura Lusigaliye imefanya ziara ukaguzi wa miradi ya maendeleo robo ya nne lengo ikiwa ni kukagua utekelezaji wa miradi ambayo inatekel...
Posted on: July 25th, 2023
Manispaa ya Ilemela kupitia divisheni ya viwanda, biashara na uwekezaji inaendelea kuwajengea uwezo wataalam wake wa ndani katika kuufahamu na kuleta uelewa wa pamoja juu ya mfumo wa kidijitali wa kuo...