Posted on: December 12th, 2024
Wataalam na waheshimiwa madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba wamefanya ziara Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa lengo la kujifunza shughuli za ukusanyaji wa mapato na kuona namna ambavy...
Posted on: December 10th, 2024
Kila mmoja anapaswa kutimiza wajibu wake kwa kutambua umuhimu wa utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kupambana na mabadiliko ya tabianchi yanayoendelea kuleta madhara makubwa duniani kwa sasa.
...
Posted on: December 4th, 2024
Jamii imeshauriwa kuwajali watoto wenye mahitaji maalum kwa kushiriki utatuzi wa kero na changamoto zao ili waweze kufikia ndoto zao.
Rai hiyo imetolewa na mwakilishi wa mkurugenzi wa man...