Posted on: August 17th, 2022
Vitabu 160 vya rejista za wakulima kwa ajili ya ruzuku ya mbolea vimetolewa kwa watendaji wa kata 19 za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa lengo la kupata takwimu sahihi na halisi za wakulima ili ...
Posted on: August 16th, 2022
Wananchi mbalimbali waliofika katika stendi mpya ya mabasi ya Nyamhongolo wamepongeza jitihada za Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya ukamil...
Posted on: August 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe. Hasan Masala amewataka makarani pamoja na wasimamizi wa maudhui na TEHAMA katika Wilaya ya Ilemela kuhakikisha wanakuwa makini na waadilifu katika zoezi la sensa ...