Posted on: November 14th, 2022
Jumla ya vijana 75 wakike wakiwa 12 na wakiume 63 wamehitimu mafunzo ya uaskari wa jeshi la akiba maarufu mgambo ndani ya wilaya ya Ilemela.
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo ...
Posted on: November 11th, 2022
Madiwani wa Manispaa ya Ilemela kupitia mkutano wa Baraza la madiwani wa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 ambalo hupitia na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli mbalimbali za miradi y...
Posted on: November 10th, 2022
Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Ilemela wametakiwa kuhakikisha wanakuwa makini na kuwa mstari wa mbele katika kuunga juhudi zinazoendelea za kuweka mji safi katika manispaa ya Ilemela.
Rai ...