Lengo la mkataba wa lishe ni kufanikisha suala la kuboresha hali ya lishe na kupunguza athari za utapiamlo katika jamii pamoja na kuhakikisha jamii kupitia uongozi wa kata unashiriki ipasavyo katika kupanga, kutekeleza na kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wa mpango wa halmashauri na afua za lishe.
Ndugu Said Kitinga ambae ni Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2022/2023 kipindi cha Julai- Septemba ambapo amehimiza kuwa suala la Ulinzi na Usalama ni jukumu la kila mmoja Baraza la robo ya kwanza lilifanyika tarehe 11/11/2022
Baraza La Madiwani Manispaa ya Ilemela Robo ya kwanza 2022/2023
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.